BAREDA inaandaa ripoti ya Mashindano (AZAM RBA LEAGUE 2014/15 REVIEW REPORT-FIRST ROUND) ambayo itatoa taarifa za kina na zisizo na upendeleo kwa upande wowote kwa mambo mbali mbali yaliyojitokeza, Changamoto, na Way forward, Hasa kwa Upande wa Officiating/Referee na kuikabidhi kwa Mkurugenzi Mtendaji BD.
BAREDA inawapongeza Waamuzi kwa kazi nzuri pia kuwa makini , watulivu na inapobidi kuwa kimya kwani Maadili ya uamuzi (Official Ethics ) yanatuhitaji kuwa hivyo, Pamoja na mazingira magumu itaendelea na tabia hii na kutoa ushirikiano mzuri na wa kiwango cha juu kwa wadau wote wa mchezo wa kikapu.
BAREDA inawashukuru baadhi ya makocha na wadau wengi wanaotoa ushirikiano mzuri kwa waamuzi na mawazo mazuri wanayoleta kuhusu Uboreshaji, pia na wao Kupokea maoni yetu kuhusu tafsiri mbali mbali za sheria za mchezo, tunajisikia Faraja sana kuona Mnafanyia kazi Ushauri wetu, Ushirikiano huu mzuri wa kujadili mambo uendelee pia katika mzunguko wa pili.
Tunatanguliza Shukurani zetu,

WE ARE BASKETBALL
Gosbert.
M/KITI- BAREDA
Gosbert.
M/KITI- BAREDA