Tuesday, February 17, 2015
Tuesday, January 13, 2015
Matokeo ya Michezo yote iliyochezwa juma la kwanza
4:39 PM
Ifuatayo ni jedwali linalo onyesha michezo yote iliyo chezwa katika juma la kwanza la mzunguko wa pili wa ligi ya mpira wa kikapu ijulikanayo kama AZAM BD RBAL LEAGUE 2014/15.
Tuesday, December 23, 2014
YAH: MZUNGUKO WA PILI LIGI YA MKOA (AZAM BD LEAGUE) 2015
11:16 AM
No comments
Chama cha Mpira wa kikapu Mkoa wa Dar Es Salaam kinapenda kuwajulisha wadau wake wote kuwa mzunguko wa pili wa ligi tajwa unatarajiwa kuanza tarehe 9 January 2015 na kumalizika 14 March 2015 baada ya mapumziko yaliyopisha mashindano ya vyuo (SHIMIVUTA) yaliyo malizika hivi karibuni mkoani Tanga na Sherehe za Xmas na Mwaka Mpya.
Hivyo basi michezo ya ligi itachezwa siku za Ijumaa Jioni,Jumamosi na Jumapili chini ya udhamini wa Bakhresa Food Products Ltd kupitia kinywaji chake cha Azam Cola.
Ratiba ya Mzunguko wa pili inapatikana hapa
Monday, December 1, 2014
Temeke Mabingwa - Taifa Cup 2014 Dodoma
9:05 AM
Timu pekee ya Temeke kutokea Mkoa wa Dar Es Salaam imefanikiwa kutwaa taji la Taifa Cup 2014 kwenye michuano iliyofanyika Mkoani Dodoma baada ya kuifunga Timu ngumu ya Mkoa wa Mbeya kwa jumla ya vikapu 85 - 43.
AZAM BD LEAGUE - KUKAMILISHA MECHI ZA VIPORO
8:41 AM
Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar Es Salaam kinapenda kutoa taarifa kwa vilabu vya JOGOO,DB Young Stars,Kurasini Heats,DB Lioness,Mgulani na Jeshi Stars kuwa michezo yao ya viporo itafanyika tarehe 5 na 6 Desemba 2014 hii inatokana na matumizi ya uwanja kuwa na shughuli za michezo ya Ngumi za Kimataifa.
Tafadahali barua husika za taarifa hii zitawafikia vilabuni kwenu.
Tafadahali barua husika za taarifa hii zitawafikia vilabuni kwenu.
Thursday, November 6, 2014
Matokeo ya Ligi AZAM-BD kwa juma la sita
5:51 PM
Ligi ya Mpira wa Kikapu inayo ratibiwa na Chama cha Mpira huo jijini Dar
Es Salaam imeendelea tena wiki hii kwa michezo kati ya DB Lioness na
JKT Stars ambapo timu ya JKT Stars iliibuka na ushindi wa vikapu 71-35
na Mchezo wa pili ulikuwa kati ya Oilers vs CHUI ambapo mchezo haukumalizika kutokana na kukatika kwa umeme huku timu ya CHUI ikiwa mbele kwa vikapu 35-17 dhidi ya Oilers ndani ya kipindi cha tatu cha mchezo,hata hivyo kamisaa aliuhairisha mchezo mpaka taarifa ya marudiano itakapo tolewa.
Siku ya Jumamosi ligi iliendelea kwa michezo ya Vijana Queens na Tanzania Prisons (wanawake) na Vijana Queens kuibuka na ushindi mwembamba katika mchuano mkali wa vikapu 75-74 ,Timu ya ya PAZI ilifanikiwa kuifunga Timu ya DB Young Stars kwa jumla ya vikapu 86-71,Timu ya Jogoo ilifanikiwa kuifunga timu ya TZ Prisons (Wanaume) kwa vikapu 75-59.
Siku ya Jumapili ligi ya mpira wa kikapu iliendelea kwa michezo minne
ambayo ilikuwa ni kati ya TZ Prisons Queens dhidi ya Jeshi Stars ambapo Prisons Queens walishinda kwa vikapu 62-55, Mchuano mkali kati ya Timu ya Savio na JOGOO ulimalizika kwa timu ya SAVIO kuibuka kidedea kwa ushindi mwembamba wa point moja (77-76) kwenye mchezo ulio kuwa na hamasa za aina mbalimbali,Timu ya Oilers nayo ilifanikiwa kuifunga timu inayo chipukia ya DB Young Stars kwa vikapu 83-77,Mchezo wa mwisho ulikuwa ni kati ya Chang'ombe United vs Vijana City Bulls ambapo vijana iliibuka mshindi kwa vikapu 69 - 53.
Friday, October 31, 2014
MABADILIKO YA SHERIA ZA MCHEZO WA MPIRA WA KIKAPU-2014
8:59 AM
BAREDA inajulisha wadau wote kutambua si sheria zote za mchezo wa mpira wa kikapu zilizobadilishwa, watambue kuwa ni marekebisho Machache yasiozidi Matano yenye uhusiano wa moja kwa moja na yanayoweza kuleta athari kwa Teams zinapokuwa mchezoni.
Marekebisho mengine ni ya kiutawala hasa kwa waamuzi na hayana athari kwa Teams zinapocheza mfano Signalling-namna ya kuripoti kwa kutumia ishara, na matumizi ya Video Replay system kwenye maamuzi bahati mbaya kwenye Ligi zetu Mfumo huu bado Haujaanza kutumika. Furaha zaidi ni kwa wachezaji wanaopenda kuvaa jezi namba zozote ila iwe kati ya 0, 00 hadi 99 ruksa.
BAREDA imejaribu kueleza Pia sababu kwa nini yalifanyika marekebisho ya sheria/articles hizo.
Marekebisho mengine ni ya kiutawala hasa kwa waamuzi na hayana athari kwa Teams zinapocheza mfano Signalling-namna ya kuripoti kwa kutumia ishara, na matumizi ya Video Replay system kwenye maamuzi bahati mbaya kwenye Ligi zetu Mfumo huu bado Haujaanza kutumika. Furaha zaidi ni kwa wachezaji wanaopenda kuvaa jezi namba zozote ila iwe kati ya 0, 00 hadi 99 ruksa.
BAREDA imejaribu kueleza Pia sababu kwa nini yalifanyika marekebisho ya sheria/articles hizo.
Pakua taarifa hiyo HAPA
Zimeambatanishwa kwa lugha ya kiingereza kulinda Content/Maana isiharibike, Endapo wadau watahitaji zitazifafanuliwa kwa Lugha yetu ya Taifa Kiswahili.
Gosbert
Mwenyekiti BAREDA
Gosbert
Mwenyekiti BAREDA
Thursday, October 30, 2014
MABADILIKO YA RATIBA SIKU YA IJUMAA TAREHE 31/10/2014
11:03 AM
Chama cha Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar Es Salaam kinapenda kutangaza mabadiliko madogo ya Ratiba siku ya Ijumaa tarehe 31/10/2014 ambayo yameangalia nafasi za kila timu kuweza kupata muda wa kuonekana live kama sehemu ya kuutangaza mchezo kwa kuonyesha michezo tofauti yenye viwango na msisimko tofauti ili kuongeza hamasa na msisimko kwa watazamaji watakao angalia moja kwa moja kupitia Television ya AZAM TV.
Hivyo kutokana na mabadiliko haya michezo ifuatayo itachezwa siku ya ijumaa na jumamosi.
Ijumaa - 31/10/2014
1800hrs - JKT Stars vs DB Lioness
2000hrs - TZ Prisons vs JOGOO
Jumamosi - 1/11/2014
1600hrs - Oilers vs CHUI
Vilabu vitakavyo guswa na mabadiliko haya vinaombwa kuzingatia mabadiliko husika.
Imetolewa na Kurugenzi Ufundi
Jimmy D. Nkongo
TAMKO LA BAREDA/OFFICIAL STATEMENT
10:03 AM
BAREDA inaandaa ripoti ya Mashindano (AZAM RBA LEAGUE 2014/15 REVIEW REPORT-FIRST ROUND) ambayo itatoa taarifa za kina na zisizo na upendeleo kwa upande wowote kwa mambo mbali mbali yaliyojitokeza, Changamoto, na Way forward, Hasa kwa Upande wa Officiating/Referee na kuikabidhi kwa Mkurugenzi Mtendaji BD.
BAREDA inawapongeza Waamuzi kwa kazi nzuri pia kuwa makini , watulivu na inapobidi kuwa kimya kwani Maadili ya uamuzi (Official Ethics ) yanatuhitaji kuwa hivyo, Pamoja na mazingira magumu itaendelea na tabia hii na kutoa ushirikiano mzuri na wa kiwango cha juu kwa wadau wote wa mchezo wa kikapu.
BAREDA inawashukuru baadhi ya makocha na wadau wengi wanaotoa ushirikiano mzuri kwa waamuzi na mawazo mazuri wanayoleta kuhusu Uboreshaji, pia na wao Kupokea maoni yetu kuhusu tafsiri mbali mbali za sheria za mchezo, tunajisikia Faraja sana kuona Mnafanyia kazi Ushauri wetu, Ushirikiano huu mzuri wa kujadili mambo uendelee pia katika mzunguko wa pili.
Tunatanguliza Shukurani zetu,
BAREDA inawapongeza Waamuzi kwa kazi nzuri pia kuwa makini , watulivu na inapobidi kuwa kimya kwani Maadili ya uamuzi (Official Ethics ) yanatuhitaji kuwa hivyo, Pamoja na mazingira magumu itaendelea na tabia hii na kutoa ushirikiano mzuri na wa kiwango cha juu kwa wadau wote wa mchezo wa kikapu.
BAREDA inawashukuru baadhi ya makocha na wadau wengi wanaotoa ushirikiano mzuri kwa waamuzi na mawazo mazuri wanayoleta kuhusu Uboreshaji, pia na wao Kupokea maoni yetu kuhusu tafsiri mbali mbali za sheria za mchezo, tunajisikia Faraja sana kuona Mnafanyia kazi Ushauri wetu, Ushirikiano huu mzuri wa kujadili mambo uendelee pia katika mzunguko wa pili.
Tunatanguliza Shukurani zetu,
WE ARE BASKETBALL
Gosbert.
M/KITI- BAREDA
Gosbert.
M/KITI- BAREDA
Tuesday, October 28, 2014
Semina ya siku moja juu ya sheria mpya za kikapu 2014
2:06 PM
Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) kupitia kamisheni zake za Ufundi na Uendeshaji Mashindano na Waamuzi linapenda kukutaarifu kuwa limeanda semina ya siku1 kama ilivyoelezwa hapo juu.
Semina hii ni kwa ajili ya waamuzi wote wa DSM,Waalimu wa Timu,wachezaji na Viongozi wote wa Vilabu DSM itafanyika TAR:31/10/2014 SAA 6 MCHANA UWAJA WA TAIFA WA NDANI.Lengo kama chama kilicho na Dhamana ya kusimamia mchezo wa Mpira wa Kikapu nchini kinatakiwa kuzitafasiri na kuruhusu kuanza kuzitumi rasmi sheria hizi mpya katika raundi ya pili ya ligi ya AZAM-BD na Taifa cup 2014/November - Dodoma
Nimatarajio ya chama utashirikiana nasi katka kuendeleza Mpira wa Kikapu Tanzania.Pia chama baada ya kuona malalamiko mengi kwa uchezeshaji wa waamuzi kitakaa kupitia wajumbe wake wa kamisheni hizi 2 kuona jinsi watakavyo andaa muharubaini wa tatizo hili na kulipatia ufumbuzi wa haraka.
Taarifa hizi zimetolewa kwenu na:-
Manasseh Zablon Mghamba
Kaimu Kamishna wa waamuzi (TBF)
Kamishina wa Ufundi na Uendeshaji Mashindano (TBF)
0787/0712 1937 66/0754 26 3615.
Nakala:BMT,PATRON TBF,VILABU VYOTE BD
Semina hii ni kwa ajili ya waamuzi wote wa DSM,Waalimu wa Timu,wachezaji na Viongozi wote wa Vilabu DSM itafanyika TAR:31/10/2014 SAA 6 MCHANA UWAJA WA TAIFA WA NDANI.Lengo kama chama kilicho na Dhamana ya kusimamia mchezo wa Mpira wa Kikapu nchini kinatakiwa kuzitafasiri na kuruhusu kuanza kuzitumi rasmi sheria hizi mpya katika raundi ya pili ya ligi ya AZAM-BD na Taifa cup 2014/November - Dodoma
Nimatarajio ya chama utashirikiana nasi katka kuendeleza Mpira wa Kikapu Tanzania.Pia chama baada ya kuona malalamiko mengi kwa uchezeshaji wa waamuzi kitakaa kupitia wajumbe wake wa kamisheni hizi 2 kuona jinsi watakavyo andaa muharubaini wa tatizo hili na kulipatia ufumbuzi wa haraka.
Taarifa hizi zimetolewa kwenu na:-
Manasseh Zablon Mghamba
Kaimu Kamishna wa waamuzi (TBF)
Kamishina wa Ufundi na Uendeshaji Mashindano (TBF)
0787/0712 1937 66/0754 26 3615.
Nakala:BMT,PATRON TBF,VILABU VYOTE BD
Wednesday, October 15, 2014
Taarifa za Mkutano na Wadau (Waamuzi,Viongozi wa Vilabu na Ma-Kaptain) - Alhamisi 16 Oktoba 2014
10:31 AM
Basketball Dar Es Salaam (BD) inapenda kuwataarifu wadau ambao ni Waamuzi wote wa mchezo wa Mpira wa Kikapu,Viongozi wa Vilabu na Ma-Captains wote kuwa kutakuwa na mkutano siku ya alhamisi tarehe 16 Oktoba 2014 Don Bosco Upanga kujadili maendeleo ya ligi pamoja na changamoto zake.
Mkutano huu utaanza rasmi saa 1700hrs (Kumi na moja jioni) hivyo sote tunashauriwa kuhudhuria bila kukosa ili mawazo na mapendekezo yetu sote kwa pamoja yajadiliwe na hatimaye kufanyiwa kazi.
Upatapo taarifa hizi mjulishe na mwamuzi,kiongozi au Captain mwenzako.
Taarifa hii imetolewa na :-
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji
Monday, October 13, 2014
Miaka 15 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Letu
7:22 PM
No comments
Baba wa Taifa Mwl.Julius K. Nyerere inasemekana alipenda sana Mchezo wa mpira wa Kikapu (Basketball) yeye pamoja na Raisi wetu wa sasa Mh. Dkt. Jakaya M. Kikwete wakifurahia jambo kwenye uzinduzi wa ligi ya SUPER CUP.
Hivyo basi mwaka huu (2014) kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 15 ya kumbumbu ya kifo chake.
Tanzania
Basketball Federation (TBF) iliandaa shindano la kuenzi mchango wake
kwenye maendeleo ya Taifa letu.Mshindi wa shindano hilo atazawadiwa
zawadi ya kombe lililotolewa na mjumbe wa NEC kupitia Chama Cha
Mapinduzi (CCM) Bw. Phares Magessa kwa mujibu wa maelezo yaliyo tolewa
na Katibu Mkuu wa TBF,Bw. Saleh Zonga.
Mabadiliko ya Ratiba - AZAM BD LEAGUE
5:18 PM
No comments
Taarifa kwa wadau (Vilabu,Mashabiki na Vyombo vya habari)
Kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.ligi yetu ya Mpira wa Kikapu (AZAM BD League) imefanyiwa mabadiliko ya kiufundi kwenye ratiba yake kupitia michezo ifuatayo:-
Tarehe 18 Oktoba 2014 - Jumamosi
34 - 1200hrs - VIJANA QUEENS VS TZ PRISON - Umeahirishwa (TZ Prison watukuwa safarini)
35 - 1400hrs - KURASINI HEAT VS DB OYSTER BAY - (Pazi vs JKT umesogezwa mbele)
Tarehe 19 Oktoba 2014 - Jumapili
37 - 1000hrs - DB LIONESS VS JESHI STARS - (CARGO Ladies hawashiriki kwenye Ligi)
40 - 1600hrs - PAZI VS JKT - (Kurasini Heat vs DB Oyster Bay umerudishwa nyuma)
Tarehe 25 Oktoba 2014 - Jumamosi
44 - 1200hrs - PAZI VS MGULANI - (TZ Prison Wanawake watukwa safarini)
45 - 1400hrs - JKT VS VIJANA - (CARGO Ladies hawashiriki kwenye Ligi)
Hivyo kutokana na mabadiliko hayo sasa ratiba itasomeka kama ifuatavyo BOFYA HAPA
Taarifa hii imeletwa kwenu na
KURUGENZI ya UFUNDI
Matokeo ya Ligi AZAM-BD kwa juma la tatu
12:10 PM
| Timu ya Chang'ombe wakipokea maelekezo |
Ligi ya Mpira wa Kikapu inayo ratibiwa na Chama cha Mpira huo jijini Dar Es Salaam imeendelea tena wiki hii kwa michezo kati ya Jeshi Stars na JKT Stars ambapo timu ya Jeshi Stars iliibuka na ushindi wa vikapu 66-63 na Mchezo wa pili ulikuwa kati ya Vijana Queens na DB Lioness ambapo DB Lioness waliibuka washindi kwa jumla ya vikapu 68 -33 vya Vijana Queens.
| Wachezaji wakipeana maelekezo |
Siku ya Jumamosi ligi iliendelea kwa michezo miwili ambayo ni Chang'ombe na Jogoo ambapo Jogoo waliibuka washindi kwa jumla ya vikapu 80-47,DB Oysterbay Young Stars walipimana ubavu na Timu ya Jeshi la Magereza na Magereza kuibuka washindi kwa jumla ya vikapu 71-61 vya DB Young Stars.
| Kocha aifanya interview |
Monday, October 6, 2014
Matokeo ya Ligi AZAM-BD kwa juma la pili
1:24 PM
Ligi ya Mpira wa Kikapu inayo ratibiwa na Chama cha Mpira huo jijini Dar Es Salaam imeendelea tena wiki hii kwa michezo kati ya Vijana na Mgulani ambapo timu ya Mgulani JKT iliibuka na vikapu 57-46 na Mchezo wa pili ulikuwa kati ya Jogoo na DB Young Stars ambapo DB Young Stars waliibuka washindi kwa jumla ya vikapu 75-73 vya Jogoo.
Tuesday, September 30, 2014
Rwanda men’s basketball team lost to hosts Uganda 61-69 in the final match of the Zone V Qualifiersat MTN Arena in Kampala.
1:23 PM
Moise Mutokambali’s side came second best to their opponents Uganda
in attack and defensive. Norman Blick and Steven Omwony were outstanding
for Uganda in the entire game.
The plethora of scoring guards led by Kenneth Gasana, Kami Kabange
and Aristide Mugabe couldn’t do much to salvage Rwanda as dominant
Uganda ruled the game.
Rwanda started on a poor note losing the first quarter 11-15 but
managed to register a quick recovery and gained their rhythm to beat
Uganda 30-28 by half time.
After half time, Mutokambali’s side lost their concentration as
Uganda won the third quarter 53-45 and Rwanda’s return to close the gap
in the fourth quarter was futile.
The loss means that Rwanda has lost twice and won twice to finish
third in the regional tournament behind leaders and defending champions
Egypt and Uganda who will represent the region at the Afrobasket finals
and All Africa Games next year.
Rwanda will for the first time miss at the Fiba Afrobasket finals having participated at the previous four editions.
In other games played on Saturday in the men’s category, Egypt sealed
their campaign unbeaten with a 91-68 win over Somalia while Kenya beat
Uganda 71-83.
Kenya and Somalia finished fourth and fifth respectively.
In the women’s category, Uganda’s women side, The Gazelles sealed
their place in the Fiba Afrobasket championships for the first time in
the history of Ugandan basketball after beating Kenya 64-61.
Monday, September 29, 2014
Angola lost to China in 2014 FIBA World Championship for Women
2:13 PM
No comments
ISTANBUL (FIBA World Championship for Women) - Shao Ting
indeed is the perfect representation of the transition phase in Chinese
women's basketball.
Shao Ting had not figured in any of the many
youth national teams that China developed and was almost a nobody until a
sterling performance in her maiden WCBA season with the Beijing Great
Wall paved the way for her inclusion in Maher's 'clean up' mission.
Shao
Ting returned the faith reposed in her with a steady showing in China's
preparations for the 2014 FIBA World Championship for Women.
The 24-year-old forward further underlined her prowess and growth with a team-high 14 points as China beat Angola 65-39 on Sunday for their first win at Turkey 2014.
Watch game highlights
With 11.5 points per game, Shao is China's only player to average double-digit scoring.
"One
year ago, if somebody told me I'd be here, I would have just laughed,"
said Shao Ting, whose only representations on any China team was at the
2011 and 2013 Universaides in Shenzen, China and Kazan, Russia
respectively.
"I still get goose bumps thinking of that day when
the coach called me," said Shao who averaged a healthy 15 points per
game for Beijing Great Wall leading her team all the way to the WCBA
Finals.
Oilers & Pazi tipp off the AZAM BD League
9:38 AM
No comments
BASKETBALL Dar es Salaam (BD) have released the fixture of the
2014/15 regional basketball (RBA) league which will witness 18 teams
battling it out for honours at the National Indoor Stadium.
BD Technical and Competitions Director Jimmy Nkongo said yesterday
the competition, dubbed Azam Dar es Salaam Basketball League, will throw
off tomorrow with two games to be played in the evening.
"There will be two matches on Friday evening and one of them will be
aired live by Azam TV, who are the league's sponsors," he said. The day
will see Oilers taking on Pazi in the men's opening game scheduled to
start at 6.00pm.
The RBA league involves 12 men's teams from the three Dar es Salaam
districts -- Ilala, Kinondoni and Temeke - with each fielding four
teams. They are Oilers, Pazi, ABC, Savio, JKT, Chui, Kurasini, Tanzania
Prisons, Jogoo, Mgulani JKT, DB Oysterbay and Vijana.
Only six teams -- DB Lioness, Jeshi Stars, JKT Stars, Vijana Queens,
Tanzania Prisons and Cargo Ladies - will contest the women's title.
The tournament will be televised live by Azam TV from the National
Indoor Stadium every Friday, being the first time the RBA league is
beamed live on television since its establishment.
The first round will end on October 14 with two games. JKT will lock
horns with DB Lioness in the women's category while Oilers will face off
Chui in the men's series.
Thursday, September 25, 2014
Hasheem Thabeet is a newcomer at The Pistons
5:53 PM
Detroit Pistons strengthened their training camp roster with addition of 27-year old Tanzanian center Hasheem Thabeet (221-120kg-87, college: Connecticut). He was about to sign at Philadelphia 76ers. The last season Thabeet played at the Thunder. But in 25 games he recorded just 1.1ppg and 1.6rpg. He helped them to win the Northwest Division title.
In 2009 Memphis Grizzlies selected him as second overall pick in NBA draft. The former University of Connecticut staris in his sixth season in pro basketball.
Among other achievements he received USBasket.com All-NCAA D1 2nd Team award and Big East Co-Player of the Year award back in 2009 at his college time.
Thabeet has played previously professionally in other NBA teams (Houston Rockets and Portland Trail Blazers) and D-League (Santa Cruz Warriors and Rio Grande Valley Vipers).
The scouts decsribe him following way: (by Kevin Duffy for NBADraft.net in 2009)
Has a good nose for the ball on the boards Tremendous lateral quickness for a player his size. Can guard smaller players out to the 3-point line Is a bit stronger than he appears.
He puts the ball on the floor way too often instead of going straight up without dribbling. This leads to turnovers and more difficult shots.
By Eurobasket Data Center
In 2009 Memphis Grizzlies selected him as second overall pick in NBA draft. The former University of Connecticut staris in his sixth season in pro basketball.
Among other achievements he received USBasket.com All-NCAA D1 2nd Team award and Big East Co-Player of the Year award back in 2009 at his college time.
Thabeet has played previously professionally in other NBA teams (Houston Rockets and Portland Trail Blazers) and D-League (Santa Cruz Warriors and Rio Grande Valley Vipers).
The scouts decsribe him following way: (by Kevin Duffy for NBADraft.net in 2009)
Has a good nose for the ball on the boards Tremendous lateral quickness for a player his size. Can guard smaller players out to the 3-point line Is a bit stronger than he appears.
He puts the ball on the floor way too often instead of going straight up without dribbling. This leads to turnovers and more difficult shots.
By Eurobasket Data Center
Subscribe to:
Posts (Atom)


























